DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA RASIMU YA MWISHO YA KATIBA INAYOPENDE​KEZWA UWANJA WA JAMHURI DODOMA

   Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa ...

  Mwenyekiti wa Bunge maalum la katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi rasimu ya katiba inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Mohamed Ali Shein katika hafla iliyofanyika jana 08/10/2014 katika uwanja wa michezo wa Jamhuri mjini Dodoma.

Rais jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk. Alli Mohamed Shein wakionesha Katiba hiyo iliyopendekezwa na Bunge Maalum la Mabadiliko ya Katiba

Related

KITETO YAPATA REKODI MBAYA YA MAUAJI BAINA YA WAKULIMA NA WAFUGAJI

Majeruhi wa mapigano hayo Pikipiki ikiwa imeteketezwa Na Mohamed Hamad WILAYA ya Kiteto imeingia kwenye orodha ya maeneo yanayotisha kwa mauaji ya kinyama baada ya wakulima kuuawa mara ...

MAKAMBA AJIPIGIA DEBE LA URAIS KIAINA

Naibu waziri wa Sayansi na Teknologia , January Makamba Katika kile kinachoonekana kama kujipigia debe katika kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Naibu Waziri wa Mawasiliano,...

MTANZANIA JACK CLIFF AKAMATWA NA MADAWWA YA KULEVYA HUKO MACAU

Jackie akiwa amewekwa mbele ya waandishi wa habari na mzigo wake wote aliokuwa ameumeza..... Waandishi wa habari wakifanya yao Madawa aliyokuwa amemeza Jack Jack Cliff aliyekamatwa n...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904821
item