KAMPUNI YA COMSOFT YA UJERUMANI YA WAPIGA MSASA WAHANDISI NA WATAALAMU WA MASUALA YA USAFIRI WA ANGA BARANI AFRIKA.
Baadhi ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mku...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2014/10/kampuni-ya-comsoft-ya-ujerumani-ya.html
Baadhi
ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani
Afrika wakimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto) wakati wa semina ya usimamizi wa
mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa ajilia ya usalama wa ndege ikiwa
kwenye anga husika.iliyofanyika katika hoteli ya serene leo jijini Dar
es Salaam.
Kaimu Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA)
Charles Chacha (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
COMSOFT Mr.Manfred Schmid (kushoto)wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi
wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia )wakati alipokuwa
akitoa mada juu ya usimamizi wa mitambo ya ADS-B ambayo inatumika kwa
ajilia ya usalama wa Anga wakati semina iliyowahusisha wahandisi wa
mamlaka ya usafiri wa Anga Barani Afrika iliofanyika leo ktika Hoteli ya
Serena jijini Dar es Salaam ikiwa imeandaliwa na COMSOFT ya Ujeremani.
Kaimu
Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles
Chacha (kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT
Mr.Manfred Schmid (kulia)wakiwa miongoni mwa washiriki wa semina ya
wahandisi na wataalamu wa uendeshaji wa mamlaka ya usafiri wa Anga
barani Afrika iliyofanyika leo katika hoteli ya Serena,jijini Dar es
Salaam,Semina hiyo imeandaliwa na kampuni ya Comsoft ya Ujerumani ambao
ni wataalamu wa mitambo inayotumika kwa ajili ya usalama ndege wakati
ikiwa anga husika.
Kaimu
Mkutugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles
Chacha (katikati) na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT
Mr.Manfred Schmid (kulia)wakimsikiliza kwa makini Mkurugenzi wa Mradi
wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia )wakati alipokuwa akiongelea
masuala ya usimamizi wa usalama wa Anga katika semina iliyowahusisha
wahandisi wa mamlaka ya usafiri wa Anga Barani Afrika uliofanyika leo
ktika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya Wahandisi na wataalamu wa masuala ya usafiri wa anga kutoka barani
Afrika wakimsikilza Mkurugenzi wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn (
kulia ) juu ya masuala ya usimamizi wa usalama wa Anga katika semina
iliofanyika leo katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya COMSOFT Mr.Manfred Schmid na Mkurugenzi
wa Mradi wa Comsoft Dr.Gunther Hellstrn ( kulia ) wakimsikilza kwa
makini mtaaramu wa kuongoza ndege kutoka Uganda (UGATCA) Magret Kagendo
wakati alipokuwa akiuliza swali wakati wa semina iliyowashirikisha
wahandisi na wataalamu wa Mamlaka ya usafiri wa Anga barani Afrika
iliyofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Washiriki
wa semina yamasuala ya mitambo ya ADS-B amabayo inatumika kwa ajili ya
usalama wa Anga na Uangalizi wa Ndege inapotoka kwenye anga husika na
kwenda naga nyingine iliyo wahusisha Wahandisi na wataaramu wa masuala
ya usafiri wa anga kutoka barani Afrika ,wakifuatilia moja ya mada
zilizokuwa zikitolewa kwenye semina hiyo iliyoandaliwa na COMSOFT
jijini Dar es Salaam.