WADAU WA FILAMU WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA TASNIA HIYO

  Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya fil...

 Katibu Bodi ya Filamu Tanzania, Bi. Joyce Fissoo (kulia) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Afisa wa Bodi hiyo, Bw. Benson Mkenda.

 Kaimu Mwenyekiti Bodi ya Filamu Tanzania, Sylivester Sengerema (kushoto) akieleza jambo wakati wa mkutano wa kujadili mambo yanayohusu tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mjumbe wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bw. John Lister.


 Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bw. Simon Mwakifwamba akichangia mada katika mkutano uliohusu masuala ya tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bw. Deosonga Njelekela.

  Katibu wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Bishop Hiluka akichangia mada katika mkutano uliohusu masuala ya tasnia ya filamu Tanzania uliofanyika katika ofisi za bodi ya Filamu Tanzania. 

Wadau kutoka Bodi ya Filamu Tanzania pamoja na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF) wakimsikiliza Katibu wa TAFF (hayupo pichani) wakati alipokuwa akichangia mada kuhusu masuala ya filamu nchini wakati wa mkutano uliofanyika katika Ofisi za Bodi ya Filamu jijini Dar es Salaam.

Related

FAHAMU KUHUSU HOMA YA DENGUE

Homa ya Dengue ni ugonjwa unaoenezwa kwa kuumwa na mbu aina ya Aedes mwenye virus vya ugonjwa huu. Mbu hupata virusi vya homa ya Dengue anapomuuma mtu mwenye ugonjwa huu. Ugonjwa huu unaene...

UPOTOSHWAJI WA TAARIFA YA HALI MBAYA YA HEWA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI        MAMLAKA YA HALI YA HEWA Simu: +255 22 2460706-8 Telefax: +255 22 2460735, 2460700  &nbs...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904812
item