FREEMAN MBOWE ATOA GARI YA WAGONJWA HAI

Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Mbunge wa Jimbo la HAI, na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni Mh. Freeman Mbowe ameendeleza juhudi zake...



Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Mbunge wa Jimbo la HAI, na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni Mh. Freeman Mbowe ameendeleza juhudi zake katika kuokoa maisha wa watu wa jimbo lake ambapo wiki hii ametoa ambulance kwa ajili ya watu wa jimbo lake....

Kutolewa kwa ambulance hiyo itakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wakazi wa HAI jimbo ambalo limetawaliwa na mito na mabonde mbalimbali ambapo litatumika kuwawaisha wagonjwa hospitali teule ya Machame na ile ya Wilaya.

Kufuatia kutolewa kwa ambulance hiyo mkazi mmoja wa kata ya Machame Mashariki(LYAMUNGO KATI) amesema itakuwa ni msaada mkubwa sana kwao maana itarahisisha kupeleka wagonjwa kutoka Kituo cha afya Lyamungo Hadi hospitali teule ya Machame.

Baadhi ya wakazi wa Masama(Masama Bweera) wameonekana kufurahia na wengine kudiriki kusema kama FREEMAN MBOWE atagombea tena watampa ushiindi wa kishindo kutokana na mheshimiwa Mbowe kutoa Ahadi zake bila kupendelea upande wowote.


Related

NEW UN RESIDENT COORDINATOR AND UNDP REPRESENTATIVE PRESENTS CREDENTIALS TO THE GOVERNMENT

The UN Resident Coordinator and UNDP Representative, Mr. Alvaro Rodriguez presents Copies of Credentials to Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Cooperation ...

WWF YAENDESHA MAFUNZO KWA WAFANYAKAZI WA MANISPAA YA KINONDONI KUHUSU HEWA UKAA

SHIRIKA lisilokuwa la kiserikali la WWF,limeendesha mafunzo kwa wafanyakazi wa idara mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni (KMC) kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi...

STAR WA TANZANIA MOVIE TALENTS (TMT) 2014, MWANAAFA MWINZAGO AWA KIVUTIO MITAA YA KARIAKOO

 Mshindi wa Tanzania Movie Talents (TMT) 2014 Mwanaafa Mwinzago (Katikati) akisindikizwa na Matron pamoja na Mfanyakazi wa TMT huku akilindwa na Mabaunsa wakati alipopelekwa Katika Mitaa ya K...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904820
item