GHANA 3-0 EQUATORIAL AFCON 2015: GHANA KUCHEZA NA IVORY COAST FINAL JUMAPILI

  wachezaji wa Ghana  wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0  kwaiyo sasa  Ghana ku...

 wachezaji wa Ghana  wakishangilia ushindi na kutinga fainali baada ya kuwakunja wenyewe Equatorial Guinea 3-0  kwaiyo sasa  Ghana kukutana na Ivory Coast tarehe 8 kwenye fainali. 
 
 Baada ya kipenga cha mwisho wenyewe wa mashindano hayo ya AFCON walikuwa wamekubali kipigo cha magoli matatu ndipo washabiki walivyoanzisha timbwili hili uwanjani hapo.




 Hali ilionekana siyo shwari toka kipindi cha kwanza pale Ghana walivyo pewa penati ya mapema hii hapa ilikuwa baada ya dk 45 za kwanza washabiki wenye mizimu ya kinyamulenge walianza kuwarushia makopo na chupa wacheza wa Ghana walivyokuwa wakielea kwenye vyumba vya mapumzikia.

 Helicopter ikizunguka eneo la uwanja kujaribu kuzima vurugu hizo baada ya kipenga cha mwisho.

  Chupa za maji hiyo wakirushiwa wachezaji wa Equatorial Guinea kutoka kwa washabiki wenye jaziba baada ya timu yao kukubali kipindo.

 Uwanjani hapo hali haikuwa shwari kwa muda wa dk 30 baada ya kipenga sha mwisho.



Related

TUJUZANE 5847846188421374827

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item