NIGERIA KUMCHAGUA RAIS JUMAMOSI

Nigeria inatarajiwa kufanya uchaguzi wa Rais Jumamosi ijayo. Uamuzi uliotolewa kushinikiza uchaguzi huo kufanyika ulichukuliwa baa...


Nigeria inatarajiwa kufanya uchaguzi wa Rais Jumamosi ijayo.

Uamuzi uliotolewa kushinikiza uchaguzi huo kufanyika ulichukuliwa baada ya mkutano uliodumu kwa saa saba, katika mji mkuu wa nchi hiyo Abuja, kati ya Wagombea, magavana wa majimbo na Tume ya Uchaguzi.

Hakuna vituo vya kupigia kura vitakavyoandaliwa katika maeneo mengi ya kaskazini mashariki mwa Nigeria, ambako wapiganaji wa Boko Haram wanafanya mashambulizi yao.

Katika mkutano huo pia imeamuliwa kwamba wale wote waliopoteza makaazi yao kutokana na mapigano hayo, wataweza kupiga kura katika maeneo mengine.

Hata hivyo habari zinasema kwamba mambo mengi kwanza yanahitaji kukamilishwa. Baadhi ya majimbo yanatarajiwa kutangaza siku za mapumziko kutoa nafasi kwa watu kuhakikisha kuwa wapo katika daftari la wapiga kura.

BBC Swahili.

Related

KUHUSU KUJIUA KAIMU BALOZI WA LIBYA NCHINI, SERIKALI YATHIBITISHA

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo imepokea taarifa kutoka Ubalozi wa Libya hapa nchini kuwa aliyekuwa Kaimu Balozi wa Libya, Bwana Ismail Nwairat, amefariki dunia jana kwa ...

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUBWA WA CHAMA CHA WABUNGE KUTOKA NCHI ZA MADOLA(CPA) YAENDELEA JIJINI ARUSHA

 Katibu wa Bunge,Dk Thomas Kashililah(kulia) akiongozana na Wabunge ambao ni Wajumbe wa Chama cha Wabunge wa Jumuiya ya Madola(CPA) na watumishi wa Bunge wakiwa kwenye Ngurdoto Mountain Lodge...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904813
item