JK APOKEA VITABU MILIONI 2.5 KWA SHULE ZA SEKONDARI VILIVYOTOLEWA KWA MSAADA WA WATU WA MAREKANI

Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitabu vya sayansi  toka kwa  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivy...

Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akipokea baadhi ya vitabu vya sayansi toka kwa  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Vitabu hivyo ambavyo vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe Paul Makonda baada ya kuwasili katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam leo tayari kwa kukagua ujenzi wa maabara na pia kupokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua maabara katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani. Wa kwanza kulia ni Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, akifuatiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, na viongozi wengine wakiangalia jinsi somonla sayansi likifundishwa katika darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma kikwete, Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, Dkt Shukuru Kawambwa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,na viongozi wengine wakisalimia wanafunzi katika   darasa la Kidatu cha pili Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na kugawa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa na Watu wa Marekani


 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress, wakiongea na mkandarasi wa maabara ya  Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam ambako  pia alipokea na
kugawa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani.
 
 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete, Mama Salma Kikwete  na Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress wakiwa na baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiwa na vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.

 Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja huko Kunduchi jijini Dar e salaam wakiimba kwa furaha katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.

 Kikundi cha utamaduni cha jeshi la polisi kikitumbuiza katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyotolewa na Watu wa Marekani.

 Baadhi ya maafisa wa ubalozi wa Marekani wakiwa katika katika sherehe ya kukabidhiwa vitabu vya sayansi vilivyochapishwa  na Watu wa Marekani.

 Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress akigawa vitabu kwa wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia
vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 
  Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na  Balozi wa Marekani nchini Mhe Mark Childress katika picha na baadhi ya  wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam baada ya kuwagawia vitbu vya sayansi. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.

  Mwanafunzi wa Kidatu cha pili D, Khairat Nassor, akitoa ushuhuda wa jinsi wanafunzi walivyokuwa na nafuu baada ya kupatikana vitabu vya sayansi katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar essalaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.
 
 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani.

 Mama Salma Kikwete akiagana na walimu wenzake baada ya sherehe za kukabidhi vitabu vya sayansi. katika Shule ya Sekondari ya Mtakuja ya Kunduchi jijini Dar es salaam. Vitabu hivyo, ambavyo pia vimesambazwa katika shule zote za serikali nchi nzima vimechapishwa kwa msaada wa Watu wa Marekani. 

PICHA NA IKULU

Related

MATOKEO YA KIDATO CHA SITSA 2015

Kutazama matokeo ya kidato cha sita - 2015  bofya HAPA.

Late Post: MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT 2015 HAYA HAPA

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA. WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904819
item