MOJA YA JENGO LA MABIBO HOSTEL JIJINI DAR LASHIKA MOTO

Moja ya jengo la Hostel za Mabibo likiwa limeshika moto asubuhi hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unah...

Moja ya jengo la Hostel za Mabibo likiwa limeshika moto asubuhi hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unahitajia ili kuokoa mali zilizopo kwenye Jengo hilo.


Baadhi ya Wanafunzi waliokuwa wakiishi kwenye Jengo hilo wakiwa nje,huku wakiwa hawajui la kufanya wakati moto huo ukiendelea kuwaka.

Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) wanaoishi kwenye Hostel za Mabibo,wakiangalia moja ya majengo ya Hostel hizo likiwa limeshika moto asubuhi hii. Chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na msaada wa haraka unahitajia ili kuokoa mali zilizopo kwenye Jengo hilo.


Source: Mtizamohuru

Related

OTHER NEWS 1738275678244059586

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item