Late Post: MAJINA YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA JKT 2015 HAYA HAPA

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJ...


MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA ANA WATANGAZIA VIJANA IDADI 20000 WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MEI 2015 KUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA. WANATAKIWA KURIPOTI KWENYE VIKOSI VYA MAFUNZO WALIVYOPANGIWA KUANZIA TAREHE 08 JUNI 2015. MAFUNZO YATAANZA RASMI TAREHE 15 JUNI 2015 NA KUMALIZIKA TAREHE 15 SEPTEMBA 2015.
YAFUATAYO YAZINGATIWE
  1. VIJANA WANAOTAKIWA KUJIUNGA WAWE RAIA WA TANZANIA
  2. WARIPOTI WAKIWA NA VYETI HALISI VYA KUZALIWA NA KUMALIZA KIDATO CHA SITA (LEAVING CERTIFICATE).
  3. VIJANA WENYE ULEMAVU UNAOONEKANA WARIPOTI KWENYE KIKOSI CHA RUVU.
  4. WALE WENYE MATATIZO AMBAYO YATAPELEKEA KUTOKUHUDHURIA MAFUNZO YA JKT KWA SASA WAANDIKE BARUA YA MAOMBI YA KUAHIRISHA MAFUNZO KWA MKUU WA JKT WAKIAMBATISHA VIELELEZO VYA TATIZO ALILONALO. MWAWASILIANO YOTE YAFANYIKE KUTUMIA ANUANI IFUATAYO.

MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA
MAKAO MAKUU YA JESHI LA KUJENGA TAIFA
S.L.P 1694
DAR ES SALAAM.


TANGAZO HILI LIMETOLEWA NA MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA

Related

AJIRA MPYA ZA WAALIMU KWA MWAKA 2015

Ofisi ya waziri Mkuu - TAMISEMI tarehe 23/05/2015 imetangaza ajira ya wahitimu wa mafunzo ya ualimu na mafundi sanifu maabara katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa. Kwa maelezo zaidi tafadhali ...

NEW ZEALAND COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS: 2015 AWARDS

MINISTRY OF EDUCATION AND VOCATIONAL TRAINING NEW ZEALAND COMMONWEALTH SCHOLARSHIPS: 2015 AWARDS  Applications are invited from qualified Tanzanians for Masters and Doctorate programmes for...

CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) KAMPASI YA MBEYA. , NAFASI ZA MASOMO – SEPTEMBA 2015/2016

MBEYA. , NAFASI ZA MASOMO – SEPTEMBA 2015/2016 WAHI SASA APPLICATION FOR DIPLOMA - SEPTEMBER INTAKE-2015/2016 CLICK HERE TO DOWNLOAD APPLICATION FOR DIPLOMA - SEPTEMBER INTA...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904812
item