VIONGOZI WA CHADEMA WANAOKABILIWA NA KESI YA UCHOCHEZI WAPEWA DHAMANA MKOANI SIMIYU
Chadema imeibwaga Serikali mahakamani baada ya mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Simiyu kuzitupilia mbali hoja za upande wa mashitaka...
Pia polisi walizuia msafara wa Mbowe wakati ukitoka mahakamani kwa muda wa Dk 45.Wote wamepatiwa dhamana.