TUKIO: MAHARI VENUE: HOME - MBAGALA DECORATION: CATHERINE MWAISAKA & GROUP MC: WINTER MWAILUNGA MUSIC ...
https://gabriellabridalsolution.blogspot.com/2013/07/bumi-eliakimu-mwaisakas-dowry-pictures.html
TUKIO: MAHARI
VENUE: HOME - MBAGALA
DECORATION: CATHERINE MWAISAKA & GROUP
MC: WINTER MWAILUNGA
MUSIC & VIDEO: TIMOTHY MWAISAKA
|
WAKWE WALIKWAMA GETINI KUTONA NA ULINZI MKALI WA SHANGAZI MPAKA KILIELEWEKA.... |
WALIPOTOA KITU WAKARUHISIWA KUINGIA NDANI, PICHA CHINI ZIKIWAONYESHA WAKIINGIA
|
MR & MRS ELIAKIMU MWAISAKA WAZAZI WA BUMI WAKIJITAMBULISHA |
|
BAADHI YA MAMA WAKUBWA, MDOGO, SHANGAZI DADA NA KAKA WA BUMI KWENYE PICHA YA PAMOJA |
|
MAHARI IKATOLEWA |
|
BWANA HARUSI MTARAJIWA VICTOR AKAFATWA KWA AJILI YA UTAMBULISHO |
|
AKITAMBULISHWA RASMI KWA MWAISAKA'S FAMILY |
BAADA YA YOTE TUKAHAMIA HUKU..............
|
CATHERINE MWAISAKA AKIWAKILISHA UPANDE WA MAPAMBO |
|
BUMI AKIINGIA UKUMBINI |
|
UKAFIKA MUDA ULEEEEEE WA PINGU YA AWALI |
|
BUMI AKI-SHOW PETE YAKE KWAMBA JAMANI NOW I'M VICTOR'S WIFE TO BE |
|
BUMI AKAMPA ZAWADI VICTOR |
|
AKAMALIZIA NA UA.. |
|
NAYE AKAPEWA YA KWAKE |
|
ZAWADI IKAFUNGULIWA |
CHAKULA: KILISIMAMIWA VYEMA NA MAMA NELLY MWAIKUJU
HAIR DO...
MAPOCHISIDE INAWATAKIA MAFANIKIO MEMA NA MUNGU AWATANGULIE KUELEKEA SIKU ILEEEEEEEEEEEE, WE LOVE U!!!!!