MAJERUHI WA GARI YA JESHI LILOPATA AJALI HUKO ZANZIBAR WAKATI WA KWENDA KWENYE MAZIKO YA WANAJESHI WALIOKUFA DARFUL

Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari iliopinduka ikiwa katika msafara wa maziko ...

Dakari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali ya gari iliopinduka ikiwa katika msafara wa maziko ya Marehemu waliokufa Dafur, ajali hiyo imetokea baada ya kupinduka gari waliokuwa wamepanda wakienda makaburini kwerekwe. 

Madaktari katika hospitali ya Mnazi mmoja wakitowa huduma kwa Wananchi na Wanajeshi waliopata ajali wakati wakienda katika maziko ya Wanajeshi waliokufa Dafur. ajali hiyo imetokea katika maeneo ya Mwanakwerekwe sokoni.

Majeruhi wa ajili yagari ya jeshi wakiwa katika hospitali ya mnazi mmoja wakisubiri huduma ya kwanza baada ya kufikisha hospitali hapo. kwa matibabu. 

Daktari katika hospitali ya mnazi mmoja akitowa huduma ya kwanza kwa majeruhi wa ajali waliofikishwa hospitalini hapo kwa matibabu. 

Makaktari katika ya Hospitali ya mnazi mmoja wakiandaa vifaa kwa ajili ya kutowa huduma ya kwanza katika hospitali kuu ya mnazo mmoja kwa matibabu, ajali hiyo imetokea maeneo ya mwankwerekwe sokoni.


SOURCE: ZANZINEWS BLOG

Related

CCM YATEUA MGOMBEA WAKE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA

     Dar es salaam. Kamati Kuu ya CCM, chini ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, imempitisha Godfrey William Mgimwa kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mdo...

VIGOGO SITA CCM WAITWA KAMATI YA MAADILI

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye Vigogo sita ambao wanatajwa kuwa wanajiwinda kwa ajili ya kuwania urais kupitia CCM katika uchaguzi mkuu ujao, wameitwa mbele ya Kamati ya Ndogo...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904758
item