MALORI YAFUNGA BARABARA ENEO LA KIBAHA

Magari yanayongia na kutoka DSM yamekwama Kibaha mizani kuanzia saa 5 asubuhi baada ya madereva wa Malori kugoma kwa madai ya kupandishiw...

Magari yanayongia na kutoka DSM yamekwama Kibaha mizani kuanzia saa 5 asubuhi baada ya madereva wa Malori kugoma kwa madai ya kupandishiwa ushuru kwa malori ya mafuta, polisi imethibitisha. 
Source: ITV Breaking News

Related

UZALENDO KWANZA: PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Shirika linalojibidisha na kutetea na kulinda watu wenye ulemavu wa ngozi nchini Under the Same Sun, (UTSS) limeteuliwa kushindania Tuzo ya Haki za Binadamu ijulikanayo kama “Tulip” itolewayo nchi...

WAFANYAKAZI WA UNFPA, TUSHIKAME PAMOJA FOUNDATION NA PROJECKT INSPIRE WAONYESHA UPENDO KWA WAZEE MSIMBAZI CENTRE

 Wafanyakazi wa UNFPA kutoka kushoto ni Clementina Njau, Mike Mwakuvila na mdau kutoka Tushikamane Pamoja Foundation wakionyesha upendo kwa mmoja wa wazeee wanaoishi kwenye kituo hicho wakati...

MAJAMBAZI WAJERUHI POLISI, MFANYABIASHARA NA KUPORA MILIONI 30/=

Sajenti Hija Hassan Hija, alijaribu kupambana na mabambazi hao, lakini alishindwa kufanikiwa baada na yeye kujeruhiwa sehemu ya mkononi na mguuni kutokana kushambuliwa kwa risasi.Akiwa katika hospi...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904826
item