RAGE AMTEUA WAMBURA KUWA MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI, AGOMA KUITISHA MKUTANO WA DHARURA

Mkutano wa Mwenyekiti aliyesimamishwa Simba, Ismail Aden Rage na waandishi wa habari umefanyika kama alivyohaidi. Katika mkutano h...




Mkutano wa Mwenyekiti aliyesimamishwa Simba, Ismail Aden Rage na waandishi wa habari umefanyika kama alivyohaidi.

Katika mkutano huo Rage amegoma kuitisha mkutano wa dharura wa wanachama kama alivyoagizwa na Raisi wa shirikisho la soka nchini Bwana Jamal Malinizi.

Akizungumza na waandishi wa habari Rage amesema kwamba haoni sababu za kuitisha mkutano mkuu na endapo TFF na Malinzi wataendelea kumshinikiza kufanya hivyo basi atajiuzulu.



Katika hatua nyingine Rage amemteua mwanachama wa klabu hiyo Michael Wambura kuwa mjumbe wa kamati ya utendaji ya Simba.

Pia, amemteua Rahma Al Kharusi maarufu kama Malkia wa Nyuki kuwa Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini.

Related

CHADEMA YAKUSANYA SAINI ZA WANANCHI KUKATAA MAISHA MAGUMU

 Wabunge watano wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliofukuzwa bungeni wiki iliyopita na kupewa adhabu ya siku tano ya kutohudhuria vikao vya Bunge la bajeti, wameanza kukus...

DCI MANUMBA AREJEA NCHINI

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amerejea jana akitokea nchini Afrika Kusini alikokuwa akitibiwa kwa zaidi ya miezi miwili.DCI Manumba alisafirishwa kw...

TUJIKUMBUSHE NCHI ZILIZOWAHI KUCHUKUA UBINGWA WA KOMBE LA DUNIA LA FIFA (FIFA WORLD CUP) KATI YA MWAKA 1930 - 2010 TUKISUBIRIA USHINDANI WA 2014

1. URUGUAY - 1930 FIFA World Cup 2. ITALY - 1934 FIFA World Cup   3. ITALY - 1938 FIFA World Cup  4. URUGUAY -  1950 FIFA World Cup  5. GERMANY - 1...


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904728
item