MKURUGENZI WA ZAMANI WA TANESCO, MKEWE WAPANDISHWA KIZIMBANI

  Mhando (kushoto) na wenzake wakitoka mahakamani   Askari kanzu akitanua njia wakati Mhando (mwenye shati jeupe) akipelekwa kizimba...

 Mhando (kushoto) na wenzake wakitoka mahakamani
 Askari kanzu akitanua njia wakati Mhando (mwenye shati jeupe) akipelekwa kizimbani.
 Waliounganishwa kwenye kesi hiyo nao wakishuka kizimbani chini ya ulinzi mkali.
Mke wa Mhando (kushoto) na mwenzake wakirudishwa mahabusu.


MKURUGENZI  wa zamani wa Shirika la Umeme nchini, (Tanesco) William Geofrey Mhando na mamsap wake, Eva Stephem Mhando, na maofisa wengine watatu wa shirika hilo, France Lucas Mcharange, Sophia Athanas Misidai na Naftali Luhwano Kisinga,  leo wamepandishwa kizimbani Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam kwa kosa la kuhujumu uchumi na kuiingizia serikali hasara ya zaidi ya shilingi milioni 884,550,000. 
Katika kesi hiyo iliyosomwa na Wakili wa Serikali, Leonard Swai, mbele ya Hakimu Frank Mushi, wakili huyo alisema Mhando akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco anatuhumiwa  kumpa tenda mamsap wake ya kusambaza vifaa vya stationery vyenye thamani ya shilingi milioni 884,550,000/ kwa shirika hilo kinyume na taratibu.
(PICHA : RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY/GPL)      

Related

AFRIKA KUSINI WAFANYA IBADA MAALUM YA MANDELA

Johannesburg. Afrika Kusini, jana ilitawaliwa na ibada na maombi yaliyofanyika katika makanisa mbalimbali kuliombea taifa, baada ya kifo cha Rais wa Kwanza mzalendo, Nelson Mandela. Rais Ja...

MKUTANO WA CHADEMA KASULU WAINGIWA NA DOSARI

Mkutano wa Dr Slaa Kasulu uliofanyika leo mjini Kasulu uliingiwa na dosari na kusababusha kuvunjika baada ya vijana wapatao 15 kurusha mawe na kufanya vurugu,pPolisi walitumia mabomu ya machozi kuw...

Kenyan Fan Kills Self Over Man United Loss To Newcastle

A Kenyan fan of English football outfit Manchester United has jumped to his death from the 7th floor of a building after his team’s latest loss to Newcastle United. 23 year-old John ...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904746
item