TAZAMA MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI (BRIDGING COURSE) YA UALIMU

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI (BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA SAYA...

ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI (BRIDGING COURSE) YA UALIMU NGAZI YA STASHAHADA MASOMO YA SAYANSI NA HISABATI KATIKA CHUO CHA UALIMU MONDULI MWAKA WA MASOMO 2014/2015.
 

Wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo haya wanatakiwa kuripoti Chuo cha Ualimu Monduli kuanzia tarehe 14/07/2014 hadi 15/07/2014.
 
MAELEKEZO MUHIMU


Wanafunzi wanatakiwa kufika chuoni wakiwa na mahitaji yafuatayo:-
 1. Vyeti halisi vya Baraza la Mitihani la Tanzania vya Kidato cha NNE na SITA;
2. Sare ya Chuo (Shati/Blauzi nyeupe mikono mirefu:Suruali/sketi: koti na tai rangi ya “dark blue”); na
3. Fedha za tahadhari chuoni na matumizi binafsi. 

 
Usajili wa waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo utafungwa terehe 18/07/2014 saa 12.00 jioni.


Kuona majina ya waliochaguliwa bofya hapa chini:
 
icon ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA MAFUNZO MAALUMU REKEBISHI (274.52 kB)

Source: Ministry of Education and Vocational Training


Related

ELIMU 92307649564247323

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

item