KINANA AHUTUBIA MKUTANO MKUBWA TANGA

  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi ...

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia katika mkutano wa hadhara ulioandaliwa maalumu kwa ajili ya kuwapongeza wananchi kuwachagua viongozi wa CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyka nchini kote Desemba 14 mwaka jana. CCM imepata ushindi wa asilimia 81 nchi nzima.

Kinana amesema maeneo yote ambayo upinzania wameshinda na ushindi uliosababishwa na baadhi ya wana CCM NA ENDAPO WATAGUNDULIKA WAMEFANYA KUSUDI KUKIKOSESHA USHINDI CHAMA WATAWAJIBISHWA.

 Kinana akisalimiana na wananchi wa Tanga, wakati akiingia kwenye mkutano huo wa hadhara kwenye Uwanja wa Tangamano jijini Tanga. Tanga imekuwa ya pili nchini kwa kwa kushinda uchaguzi huo kwa asilimia 97 ambapo ya kwanza ni Mkoa wa Iringa ulioshinda kwa asilimia 98.

 Sehemu ya umati wa wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Kinana akihutubia.

 Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Kata ya Pongwe, Mbaraka Saad Mbaraka  akipokea kadi ya CCM kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana baada ya kutangaza kuihama CUF na kujiunga na CCM pamoja na wanachama wengine 200.

 Kiongozi wa kikundi cha Taarabu cha Jahazi, Mzee Yusufu akifanya mambo alipokuwa akitumbuiza katika mkutano huo wa kushangilia ushindi wa CCM.

 Kikundi cha Jahazi kikishambulia jukwaa na kukonga nyoyo za wapenzi na wafuasi wa CCM

 Aliyekuwa mgombea ubunge Tanga Mjini 2010 kupitia Chadema, Hassan Omary Mbaraka akitangaza kuhamia CCM baada ya kukunwa na hotuba ya Kinana katika mkutano huo.

Kinana akipanda gari tayari kuondoka baada kumalizika kwa mkutano huo
 
Related

Dr Slaa's Speach at The University of Samford, USA

Dr. Wilbroad Slaa Mr. President, the faculty, staff, students, invited guests and the public at large. Allow me to express my gratitude, for the cordial welcome at your lovely campus. It is one o...

TASWIRA MBALIMBALI ZA CHAKULA CHA JIONI ALICHOANDAA MWENYEKITI WA CCM, RAIS JAKAYA KIKWETE KWA AJILI YA MAKATIBU WAKUU WA VYAMA VILIVYOKUWA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsalimia Katibu Mkuu wa Chama cha ANC cha Afrika Kusini, Gwede Mantash, kabla ya chakula cha jioni alichowaandalia Makatibu wakuu wa vyama vilivyokuwa vy...

MFANYA BIASHARA ARUSHA AMWAGIWA TINDIKALI

Mfanyabiashara Japhet Minja amelazwa katika Hospitali ya Arusha Lutheran Centre (Seliani) jijini Arusha, baada ya kumwagiwa kimiminika kinachosadikiwa kuwa tindikali usoni na watu wasiojuli...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

907052
item