WAZIRI MWAKYEMBE AAPISHWA OFISI MPYA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

  Waziri Harrison Mwakyembe akila kiapo ndani ya Bunge la Afrika Mashariki, Arusha. Siku chache zimepita tangu yatangazwe mabadiliko...

 Waziri Harrison Mwakyembe akila kiapo ndani ya Bunge la Afrika Mashariki, Arusha.

Siku chache zimepita tangu yatangazwe mabadiliko madogo ndani ya Baraza la Mawaziri Tanzania.
 
Aliyekuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amehamishwa na kwa sasa ni Waziri wa Uchukuzi wakati Waziri Harrison Mwakyembe aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi kabadili kwenye nafasi ya Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 
Leo kuna taarifa kwamba Waziri huyo ameapishwa katika Bunge hilo Arusha na kuahidi kushughulikia kero zote zinazoikabili Wizara hiyo kama ambavyo alifanya kwenye Wizara ya Uchukuzi.
 
 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel F. Kidega akimpongeza Waziri Harrison Mwakyembe ambaye ameapishwa kuwa Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Daniel F. KIdega na Waziri Harrison Mwakyembe.
Naibu Waziri wa Afrika Mashariki, Abdallah Sadaala Abdullah (kushoto) akiwa na Waziri wa EAC Uganda, Shem Bageine (aliyekaa katikati) pamoja na Waziri wa EAC Tanzania, Dk.Harrison Mwakyembe (kulia).

Related

TUNISIA YAPATA KATIBA MPYA

Bunge la Tunisia limeidhinisha katiba mpya,ikiwa ni ya kwanza tangu kuondolewa madarakani kwa aliyekuwa rais wa taifa hilo Ben Ali, yapata miaka mitatu iliopita. Spika wa bunge hilo Mustapha ...

UTEKAJI MALORI WASABABISHA MAELFU KUKWAMA NZEGA

Baadhi ya abiria na madereva wakiwa katika mgomo wa kuondoa magari katika kijiji cha Ngonho kata ya Miguwa baada ya magari matatu kutekwa na madereva wake kujeruhiwa vibaya kabla ya kupelekwa ka...

96 WAMALIZA MAFUNZO KUPAMBANA NA MAJANGILI

Askari wa hifadhi ya  mbuga ya wanyama (TANAPA) wakiwa wamekaa wakimsikiliza mkurugenzi mkuu wa TANAPA ALLAN KIJAZI ambaye hayuko pichani wakati akifunga mafunzo ya askari hao waliohitimu ma...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:


LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

904845
item