TEMEKE MABINGWA WA PROIN WOMEN TAIFA CUF

  Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Cha...

 Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo, Mh Dkt Femella Mukangara (wa pili kushoto) akiwasili katika uwanja wa Azam Complex Chamanzi wakati wa fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup yaliyofikia tamati jana kwa kuzikutanisha Timu za Temeke na Pwani.


 Waziri Mukangala akisalimiana na timu ya Temeke pamoja na timu ya Pwani kabla ya Mechi ya Fainali ya Proin Women Taifa Cup kuanza katika dimba la Chamanzi Complex. Temeke iliibuka Mshindi kwa kuifunga Pwani Goli 1 kwa 0



 Kikosi cha Timu ya Temeke ambacho kimeifunga Kikosi cha Timu ya Pwani kwa goli 1 kwa 0 katika Mchezo wa Fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup, mchezo uliomalizika kwa Temeke kuibuka mabingwa wa Proin Women Taifa Cup katika Dimba la Azam Complex

 Kikosi cha Timu ya Pwani

 Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (wa kwanza kulia) na Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Jamal Malinzi wakishuhudia fainali ya Mashindano ya Proin Women Taifa Cup mechi iliyochezwa katika dimba la Azam Complex kwa kuzikutanisha timu za Pwani na Temeke na Temeke Kuibuka Bingwa wa Proin Women Taifa Cup kwa kuichapa Pwani goli 1 kwa 0.











  Wachezaji wa Pwani wakisikitika kwa kufungwa na Temeke

Nahodha wa Timu ya Ilala ambao ni washindi wa tatu akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi Milioni 1 ambayo mshindi wa tatu katika Mashindano hayo ni Ilala


 Nahodha wa Timu ya Pwani akipokea Mfano wa hundi ya Shilingi Milioni Mbili ambazo ni zawadi ya Mshindi wa pili katika Mashindano ya Proin Women Taifa Cup na kuwamalizika kwa Temeke kuwa Mabingwa kwa kuifunga Pwani goli 1 kwa 0.



Picha zote na Josephat Lukaza – Lukaza Blog

Related

OTHER NEWS 3392852069747519041

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item