MOTO ULIVYOITEKETEZA JANCO MOTEL ILIYOPO MBEYA JANA USIKU

Jana usiku moto mkubwa ulizuka katika hotel ya Janco iliyopo eneo la Forest Mpya na kuteketeza baadhi ya vitu, chanz...








Jana usiku moto mkubwa ulizuka katika hotel ya Janco iliyopo eneo la Forest Mpya na kuteketeza baadhi ya vitu, chanzo cha moto huo hakijafahamika hadi sasa. Idadi ya vifo na majeruhi kutokana na tukio hilo haijaripotiwa.

Related

OTHER NEWS 7779639438788050534

Post a Comment

emo-but-icon

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

item