KATUNI ZA NATHAN

HAPPY BIRTHDAY BABY JENNIFER

MAY GOD KEEP YOU SAFE ALWAYS. DADY AND MOMY LOVE YOU TOO, SO MUCH.

NICE

WAZIRI MKUU WA SYRIA APONEA SHAMBULIZI

Bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Syria Damascus, limelipuka. Inaarifiwa kuwa kuna majeruhi ka...

MH. GODBLESS LEMA AACHIWA KWA DHAMANA

  Mbunge wa jimbo la Arusha mjini  Mh. Godbless Lema leo ameachiwa kwa dhamana ya kiasi cha shilingi milioni moja katika mahakama kuu ya kan...

TEREMKA TUONGEE

SASA NAJIULIZA, NATEMBEAJE NIKIVAA HII KITU? FASHION ITATUVUNJA MIGUU JAMANI.

ALIYEMILIKI JENGO LILILOPOROMOKA AKAMATWA

Jeshi la Bangladesh linajitayarisha kutumia zana nzito kuondosha kifusi katika jengo la viwanda liloporomoka Jumatano na kuuwa mamia ya wat...

SIRI NZITO SAKATA LA LEMA

Mh. Godbless Lema YADAIWA NI MKAKATI WA CCM KUIPORA CHADEMA KATA   TUKIO la kukamatwa na kuwekwa mahabusu kwa Mbunge wa Arusha Mjini, Godbl...

CHADEMA YAISAMBARATISHA CCM UCHAGUZI WA VIJIJI KILOSA

Chama cha CHADEMA kimezidi kuonyesha umwamba dhidi ya CCM katika uchaguzi wa kijiji na kitongoji huko Kilosa. Taarifa zilizoingia hivi punde...

AVAILABLE AT MAPOCHI SIDE

NDUGAI ASHTAKIWA KWA WAPIGA KURA WAKE

  MBUNGE wa Jimbo la Ubungo na Kiongozi wa Kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, amemshitaki Naibu Spika wa B...

MKUTANO MKUU WA UEFA KUFANYIKA TAREHE 24 MAY 2013

Mkutano mkuu wa UEFA unaoshirikisha nchi wanachama 53 umepangwa kufanyika  huko jijini London siku ya ijumaa ya tarehe 24/05/2013 na ag...

COLOR ME HAPPY

AZAM FC VS COASTAL UNION NGOMA DROO

MCHEZO KATI YA AZAM FC NA COASTAL UNION YA TANGA UMEKAMILIKA MUDA HUU KWA SALE YA BAO 1 - 1. KWA MATOKEO HAYA SHANGWE KWA YANGA. HO...

AMEPENDEZA

TAMKO LA MH. GODBLESS LEMA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jana  majira ya saa nne asubuhi nilipokea taarifa kutoka Chuo cha Uhasibu juu ya tukio la mauaji ya mwan...

SAKATA LA KOROSHO LIWALE, NYUMBA 20 ZATEKETEZWA

 Takriban nyumba 20 zimeteketezwa katika maandamano yaliyofanywa na wakulima wa Korosho pamoja na waandamanaji wengine Kusini mwa Tanzania....

WANAWAKE KWENYE MIEREKA TUPO, HII NI KUTOKA SENEGAL

Nchini Senegal, miereka ya kitamaduni inapendwa zaidi kuliko soka huku wachezaji wakijipatia pesa nyingi na hata kuwa watu maarufu. Kat...

QOUTE OF THE DAY

MBUNGE AMWONYA RAIS KUTOIPIGIA DEBE CCM

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amemtahadharisha Rais Jakaya Kikwete asiitumie ziara yake ya Mkoa wa Mbeya kukipigia debe Ch...

CHADEMA YAKUSANYA SAINI ZA WANANCHI KUKATAA MAISHA MAGUMU

  Wabunge watano wa Chama  cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliofukuzwa bungeni wiki iliyopita na kupewa adhabu ya siku tano ya kuto...

DCI MANUMBA AREJEA NCHINI

Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Robert Manumba amerejea jana akitokea nchini Afrika Kusini alikokuwa akit...

TUJIKUMBUSHE NCHI ZILIZOWAHI KUCHUKUA UBINGWA WA KOMBE LA DUNIA LA FIFA (FIFA WORLD CUP) KATI YA MWAKA 1930 - 2010 TUKISUBIRIA USHINDANI WA 2014

1. URUGUAY - 1930 FIFA World Cup 2. ITALY - 1934 FIFA World Cup   3. ITALY - 1938 FIFA World Cup  4. URUGUAY - ...

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

archive