MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AAGANA NA BALOZI WA TZ NCHINI URUSI, NA WA UJERUMAN NCHINI TZ NA KUMKARIBISHA BALOZI MPYA WA UJERUMAN

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi mpya wa Ujerumani nchini Tanz...

PICHA: BASI LA HOOD LAPATA AJALI LIKITOKEA MBEYA

Basi la Hood limepata ajali asubuhi ya leo likitoka mkoani Mbeya haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahami...

SUMATRA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MALALAMIKO YA CHAKUA

  Rose masaka - MAELEZO DAR ES SALAAM Mamlaka ya  Udhibiti wa Usafirishaji  Majini na  Nchi Kavu (SUMATRA) imetoa ufafanuzi kuwa  ...

NEWS ALERT: SERIKALI YASITISHA AJIRA MPYA KATIKA IDARA YA UHAMIAJI

HOSPITALI ILIYO TUPA VIUNGO VYA BINADAMU YAFUNGIWA

Serikali imeifungia Hospitali ya Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU), baada ya kuifanyia ukaguzi na kubaini kasoro ...

KOMBORA LALIPUA MATENKI YA MAFUTA

Vikosi vya zima moto vya Libya vinapambana kujaribu kuuzima moto baada ya kombora la roketi kulipua tanki la kuhifadhia mafuta wakati ...

LIVERPOOL YAMSAJILI DIVORC OROGI

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Divorc Origi hatimaye amejiunga na timu ya Liverpool. Baba yake Origi, Mike Okoth, ambaye ...

MCHEKESHAJI MAARUUFU WA TV AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji/muigizaji maarufu wa kipindi cha Mashtaka kinachorushwa na Citizen TV, Nancy ‘Jastorina’ Nyambura amefariki Jumamosi (July ...

TAARIFA YA JESHI LA POLISI KUELEKEA SIKUKUU YA EID-EL-FITR

Jeshi la Polisi Tanzania linapenda kutoa shukrani za dhati kwa wananchi wote, vyama vya siasa, taasisi mbalimbali za serikali, madh...

TAIFA STARS KUPIGA KAMBI MBEYA KUJIANDAA NA MSUMBIJI

Kikosi cha Taifa Stars kitapiga kambi ya wiki moja kujiandaa kwa mechi ya marudiano dhidi ya Msumbiji. Mechi hiyo ya raundi ya pili y...

MWANAMKE ALIYEBADILI DINI SUDAN AKUTANA NA PAPA

  Mwanamke raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini Italia baada ya kuwa kwenye uba...

SERIKALI YAPOKEA MABEHEWA 25 YENYE THAMANI YA SH.BILIONI 4.3 KUTOKA INDIA

  Waziri wa Uchukuzi Dk.Harrison Mwakyembe (katikati), akifurahia jambo wakati wa kupokea mabehewa hayo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu ...

WALIOTUPA VIUNGO VYA BINADAMU HADHARANI KUKIONA CHAMOTO

  Tukio la utupaji wa viungo vya binadamu jalalani, linalodaiwa kufanywa na  Chuo cha Kimataifa cha Matibabu na Teknolojia (IMTU) ...

SERIKALI YASAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI WA BARABARA ZA JUU KWA JUU

  Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kulia) wakibadilishana hat...

SMZ YAZUIA KIWANJA CHA WATOTO KUTUMIKA SIKUKUU ZA IDD EL FITR

Na Rahma Suleiman   Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema kiwanja cha kufurahisha watoto kilichopo eneo la Kariakoo, mjini...

TANGAZO KUHUSU MV. KIGAMBONI

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UJENZI WAKALA WA UFUNDI NA UMEME (TEMESA) Telegrams TEMESA DSM S.L.P 70704 Simu: +255-22...

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

archive