WAZIRI MWAKYEMBE AAPISHWA OFISI MPYA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

  Waziri Harrison Mwakyembe akila kiapo ndani ya Bunge la Afrika Mashariki, Arusha. Siku chache zimepita tangu yatangazwe mabadiliko...

NAFASI ZA KAZI SERIKALINI, MWISHO WA KUTUMA MAOMBI 07 FEBRUALI, 2015

KUONA NAFASI HIZO KWA LUGHA YA KISWAHILI BOFYA HAPA KUONA NAFASI HIZO KWA KIINGEREZA BOFYA HAPA

The Julius Nyerere Master’s Scholarships at the University of Edinburgh

The University of Edinburgh will offer one scholarship to a student from Tanzania for postgraduate Master’s study in any subject offer...

MADIWANI MANISPAA YA MOSHI WASUSIA KIKAO CHA BAJETI

  Diwani wa kata ya Kaloleni ,Michael Mwita (CCM) akizungumza juu ya kitendo cha madiwani wenzake kutoka nje huku wakituhumu Mkurugenz...

SPLM KUMALIZA MGOGORO SUDAN KUSINI

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongozi wenzie  leo tarehe 22/01/2015  kabla ya kuanza kwa mkutano wa utiaji saini makubaliano ...

MNYIKA AWASILISHA HOJA KUPINGA KURA YA MAONI

 Mbunge wa Ubungo (Chadema), John Mnyika, amewasilisha taarifa kwa Katibu wa Bunge akitaka Bunge lijadili udhaifu wa katiba inayopende...

FREEMAN MBOWE ATOA GARI YA WAGONJWA HAI

Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Mbunge wa Jimbo la HAI, na Kiongozi wa kambi rasmi bungeni Mh. Freeman Mbowe ameendeleza juhudi zake...

MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA HII NI NAMNA YA KITAALAM YA KUJUA ENEO UNALONUNUA KAMA LINA MGOGORO AU HAPANA

  Na   Bashir   Yakub Makala zilizopita  nilieleza   mambo au taarifa muhimu  zinazopaswa kuwa kwenye  mkataba wako  unapokuwa u...

TAZAMA RATIBA YA MITIHANI YA KIDATO CHA SITA 2015

Bofya hapa kuona ratiba kamili

MATOKEO YA MTIHANI KIDATO CHA PILI 2014

KUONA MATOKEO BOFYA HAPA

JAJI MUTUNGI AVIONYA VYAMA VYA SIASA VINAVYOENDEKEZA MIGOGORO

  Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi. Hivi Karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la Migogoro ndani ya vyama vya Siasa. Ja...

Learn how to tie a bow tie

  

MAGARI YA ABIRIA NA WATALII KUTOKA TANZANIA YARUHUSIWA KENYA

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, LAZARO NYARANDU   WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema serikali ya Kenya imekuba...

MNUNUZI WA NYUMBA/KIWANJA JIHADHARI SERIKALI ZA MITAA HAWARUHUSIWI KUSIMAMIA MIKATABA KISHERIA.

Na   Bashir   Yakub Wiki  iliyopita  niliandika  kuhusu  Asilimia kumi ambayo  serikali  za mitaa huwa  wanaidai  hasa  maeneo  ya  ...

JERMAIN DEFOE ATUA SUNDERLAND

 Mshambuliaji wa zamani wa timu ya Taifa ya Uingereza Jermain Colin Defoe amejiunga na timu ya Sunderland. Defoe mwenye miaka 32 ...

AMAVUMBI KUTUA MWANZA JANUARI 21

KIKOSI CHA AMAVUMBI Timu ya Taifa ya Rwanda (Amavubi) itawasili Mwanza, Tanzania Januari 21 mwaka huu kwa ajili ya mechi ya kirafik...

TANGAZO LA KAZI BRELA NA TANZANIA METEOROLOGICAL AGENCY (TMA), MWISHO WA KUTUMA MAOMBI JANUARI 30, 2015

BOFYA HAPA KUONA NAFASI KUTOKA BRELA HAPA KUONA TANGAZO LA BRELA NA TMA

NAFASI ZA KAZI WIZARA YA ARDHI, MWISHO WA KUTUMA MAOMBI TAREHE 05 FEBRUALI, 2015

KUONA NAFASI ZILIZOTANGAZWA BOFYA HAPA

The Cakes...

   Love it.... Be Inspired...

MDEE: JIANDIKISHENI KATIKA DAFTARI KUEPUSHA WIZI WA KURA

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee Wakati miezi tisa ikiwa imebaki Tanzania kufanya uchaguzi mkuu, Watanzania wametakiwa kujitokeza kwa ...

KIKWETE: SHUTUMA DHIDI YA TANZANIA DRC NI ZA KUDHARAULIWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete. -Ni kusadikika tu kwa watu wanaojipa kazi ya kufikiria kw...

FOLLOW US

.

LISTEN / DOWNLOAD MUSIC HERE:

Total Pageviews

RECENT

Archive

archive